Uwoya: Wanatuona hatufai mbele za watu

Uwoya: Wanatuona hatufai mbele za watu

Siku naomba kufanya nyimbo hii na #Godfreysteven_ haikuwa rahisi kwangu nilijiuliza sana kwa jinsi watu wanatuona hatufai mbele za watu na yeye maisha yake tofauti na yangu. Ila nilijikaza nikakumbuka #pastortonyosborn aliniambia kama moyo wako unakutuma kufanya jambo fulani naunaona gumu lifanye hakika Mungu anakuwa kalipitisha,

Basi nikapata moyo nikamwambia na alilipokea vizuri sana tofauti na nilivyowaza. Mungu akubariki na akuongeze kila iitwapo leo #Godfreysteven_ kwa kunipa baraka hii kila nikisikiliza huu wimbo nasikia kulia kweli huwezi kuwa kamili peke yako sisi wote TUNATEGEMEANA.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags