Cr 7 hayupo kwenye ‘list’ ya tuzo za Ballon d’Or

Cr 7 hayupo kwenye ‘list’ ya tuzo za Ballon d’Or

Baada ya mkeka wa ‘listi’ ya wanaowania tuzo ya Ballon d’or kuwekwa wazi wadau mbalimbali wa mpira wa miguu wameshangazwa na mchezaji kutoka ‘timu’ ya Al Nassr ya Saudi Arabia CR7 kutokuwepo.

CR7 amekuwa katika tuzo hizo kwa zaidi ya miaka 19 hivyo hii inakuwa ni mara ya kwanza kwa mchezaji huyo kutokuwepo katika ‘listi’.Na ikumbukwe tu mara ya mwisho alichukua tuzo hiyo ni mwaka 2017.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags