Ujauzito wa Maua Sama uliharibika

Ujauzito wa Maua Sama uliharibika

Mwanamuziki wa kizazi kipya #Mauasama katika ukurasa wake wa Instagram ame-share post ya #UltraSound ya ujauzito na kuweka kopa iliyopasuka katikati akiwa na maana ya huzuni ama kiumbe hicho hakipo tena.

Kutokana na video hiyo inaonesha vipimo vilifanyika tarehe 24,9,2022 imepelekea mashabiki wake na watumiaji wa mitandao ya kijamii kudai kuwa huwenda msanii huyo aliwahi kuwa na ujauzito ambao uliharibika.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags