Drake atunza sidiria alizowahi kurushiwa jukwaani na mashabiki

Drake atunza sidiria alizowahi kurushiwa jukwaani na mashabiki

Mashabiki kuwarushia vitu mbalimbali wasanii wakati  waki-perfome imekuwa jambo la kawaida kwenye nchi mbalimbali. Kwa upande wa rapper Drake amekuwa akitunza sidiria ambazo amewahi kutupiwa jukwaani katika show tofauti tofauti alizowahi kufanya.

Jambo hili limewashangaza mashabiki wengi baada ya Drake ku-post picha za sidiria hizo na kutokana na picha hizo baadhi ya watu wameanza kumpatia ushauri wa kufungua duka kwa ajili ya kuziuza.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags