Whatsapp kufanya maboresho, Kutumia namba mbili kwenye kwenye Application

Whatsapp kufanya maboresho, Kutumia namba mbili kwenye kwenye Application

WhatsApp wanakuja na toleo jipya la kutumia namba mbili (account) kwenye WhatsApp moja. Kama ilivyo kwa mitandao mingine kuweza ku-add account.

Hivi karibuni Kampuni ya #META inayomiliki mitandao ya Whatsapp, Instagram na Facebook, wamekuwa wakifanya maboresho mapya (updates) katika mtandao wa WhatsApp.

Kwa mujibu #WabetaInfo inaeleza  kuwa sasa huduma hii inatolewa kwa watumiaji wa #WhatsApp BETA, yaani watumiaji ambao wanapata nafasi ya kujaribu matoleo mapya kabla ya kuachiwa kwa watumiaji wote.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags