Nani kuondoka na Ballon d’Or 2023

Nani kuondoka na Ballon d’Or 2023

Ikiwa zimepita siku chache tangu waandaji wa Tuzo ya Ballon d’Or kutangaza kutoa ‘listi’ ya wanaowania tuzo hiyo hatimae wametoa mkeka wa majina ya wachezji 30, ambapo mshindi atatangazwa Oktoba 30, Paris nchini Ufaransa.

List hiyo yenye majina ya wachezaji ni Karim Benzema, Lionel Messi, Kylian Mbappe, Mohamed Salah, Erling Haaland, Julian Alvarez, Nicollo Barella, Jude Bellingham, Yassine Bounou, Kevin De Bruyne, Ruben Dias, Antoine Griezmann, Ilkay Gundogan, Josko Gvardiol, na Harry Kane.

Huku wengine wakiwa ni Randal Kolo Muani, Khvicha Kvararskhelia, Robert Lewandowski, Emiliano Martinez, Lautaro Martinez, Kim Min-Jae, Luka Modric, Jamal Musiala, Martin Odegaard, André Onana, Victor Osimhen, Rodri, Bukayo Saka, Bernardo Silva na Vinicius Jr.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags