Mke wa Pieters agundulika kuwa na saratani ya matiti

Mke wa Pieters agundulika kuwa na saratani ya matiti

Mke wa nyota wa zamani ‘Ligi’ ya England Erik Pieters, Nermina Pieters ameweka wazi kuwa amegundulikaku anaugonjwa wa Saratani ya matiti.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa mwanadada huyo ameshusha ujumbe wenye hisia na huzuni akieleza kuwa alivunjika moyo baada ya kugundulika na ugonjwa huo huku akijiuliza maswali mengi kuwa kama atakuja kumuona binti yake akikua.

Aidha aliishukura familia, marafiki na watu wake wa karibu kwa kumtia nguvu katika kipindi hichi kigumu pia dhumuni la kuchapisha ujumbe huo ni kuwahamasisha wanawake kujua afya zao bila kuchelewa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags