Nay : Hata nikilala polisi mwezi niko tayari

Nay : Hata nikilala polisi mwezi niko tayari

Leo mapema mwanamuziki wa Hip-hop #NayWaMitego ameitika wito kwa ‘kuripoti’ kwenye kituo cha polisi #Central kwa mazungumzo juu ya wimbo wake aliotoa hivi karibuni ‘Amkeni”, ikidaiwa wimbo huo unautata kutokana na maudhui ya ujumbe wake.

 Akiwa nje ya kituo cha polisi kabla ya mzangumzo baina yake na polisi ameeleza chombo cha habari kuwa hana hofu yoyote na hata akilala mwezi kituo cha polisi yeye yuko tayari.

 Ikumbuke nyota huyo wa Hip-hop kwa mara ya kwanza aliitwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kutokana na wimbo huohuo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags