Amrabat sio majeruhi tena

Amrabat sio majeruhi tena

Taarifa za awali zilidai kuwa kiungo mpya wa ‘klabu’ ya Manchester United, Sofyan Amrabat vipimo vyake viligunguliwa kuwa ana tatizo la uti wa mgongo kama straika Rasmus Hojlund wakati anajiunga kutoka Atalanta.

Sasa inaripotiwa kuwa kiungo huyo hatakuwa nje ya uwanja kwa week sita kama ilivyoelezwa siku chache baada ya kutambulishwa.

Lakini siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa mpya kuwa Amrabat yupo ‘fiti’ na amejumuishwa katika kikosi cha ‘timu’ ya Taifa ya Morocco kwa ajili ya ‘mechi’ za kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon).
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags