Shabiki arudisha Bracelet ya Tyga baada ya kuiokota

Shabiki arudisha Bracelet ya Tyga baada ya kuiokota

Wakiwa katika tamasha aliloandaa msanii wa Marekani 50 Cent lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye jukwaa la Surprise Artist nchini humo mwanamuziki #Tyga arudishiwa bracelet yake na moja ya mashabiki walio hudhuria tamasha hilo.

Ni baada ya msanii Tyga kudondosha bracelet yake ya Diamond wakati akiendelea kutumbuiza kwenye jukwaa hilo ndipo shabiki mmoja aliidaka na kumrudishia msanii huyo.

Jambo hili limeonekana kuwa ni tabia ya kiungwana aliyofanya shabiki huyo ambayo tumezoea kuona katika majukwaa mengi pindi wanapo tumbuiza wasanii endapo wa kidondosha kitu cha thamani kama hicho huwa marachache shabiki kurudisha.

Ikumbukwe Tyga ni miongoni wa wasanii waliotumbuiza katika onyesho hilo la msanii mkongwe 50 Cent.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags