‘Mechi’ mbili zambeba Johora kuchaguliwa AFCON

‘Mechi’ mbili zambeba Johora kuchaguliwa AFCON

Mambo yameiva Taifa Stars baada ya ‘kipa’ wa #GeitaGold, ambaye alishawahi kicheza katika ‘timu’ ya #Yanga, #ErickJohora kuitwa kwa mara ya kwanza katika kikosi cha ‘Timu’ ya Taifa, kilichosafiri jana kwenda Tunisia kuweka kambi kwa ajili ya ‘mechi’ ya kuwania kufuzu 'fainali' za Afrika (Afcon) mwaka huu.

‘Timu’ hiyo ilio chini ya ‘Kocha’ mkuu ,Adel Amrouche itakuwa na kazi ya kutafuta point tatu au sare ili kuhakikisha inafuzu mbele ya ‘timu’ ya Algeria.

Licha ya kikosi hicho kuwa na wachezaji wapya akiwemo Clement Mzize, Johora huku kiungo Jonas Mkude.

kwa upande wa Johora yeye alikuwa na yakusema kuelekea mchezo huo kuwa amejisikia fahari kuitwa katika ‘timu’ Ya Taifa na huenda sababu iliyompeleke kuitwa katika kikosi hicho kumesababishwa na kucheza vyema 'mechi' mbili za ‘Ligi’ na kutoruhusu bao kimembeba mbele ya ‘Kocha’ Amrouche.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags