Brighton yamnyakuwa Fati

Brighton yamnyakuwa Fati

‘Klabu’ ya Brighton inadaiwa kufika makubaliano na ‘klabu’ ya Barcelona juu kumsajili mshambuliaji Ansu Fati kwa mkataba wa mkopo mpaka Juni 2024. Brighton itawajibika kulipa sehemu kubwa ya mshahara wa nyota huyo.

Aidha raia huyo wa Uhispania mzaliwa wa Guinea-Bissau ambaye alitabiriwa makubwa kiasi cha kurithi ‘jezi’ namba 10 kutoka kwa Messi  Oktoba 2021 atasafiri kwenda England siku ya Alhamisi kwa ajili ya kukamilisha vipimo vya afya kabla ya ‘kusaini’ mkataba na ‘timu’ hiyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags