Ally Kamwe: Kama alivyosema Marioo sisi ni people tutaonana

Ally Kamwe: Kama alivyosema Marioo sisi ni people tutaonana

Afisa Habari wa ‘klabu’ ya #Yanga Ally Shabani Kamwe, kutokana na mfulululizo wa mabao mengi yaliyofunga ‘klabu’Yanga kwenye  ‘mechi’ chache katika msimu huu kwenye ‘ligi’ awatambia watani wao #SimbaSC waliyoichapa #Yanga kwa mikwaju ya ‘penati’ katika ngao ya jamii.

Msemaji huyo amesema kuwa Simba waliwafunga kwa mikwaju ya ‘penati’ sasa  wasubiri Novemba 5 kwani sio mbali, Kamwe katika kueleza hayo akaingizia mistari ya wimbo wa ‘Sumu’ aliyoimba Marioo na AliKiba akisema kuwa hawa waliowafunga kwa mikwaju ya ‘Penati’  wao ni people wataonana na wakionana kitaumana siku hiyo ya mchezo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags