Abdulrazak: Nitatimiza ndoto ya mke wangu kupata mtoto

Abdulrazak: Nitatimiza ndoto ya mke wangu kupata mtoto

Baada ya siku za hivi karibuni mwanadada @divathebawse kusema anatamani ku-adapt mtoto kutokana na kutopata mtoto kwa muda mrefu, sasa mume wa mtangazaji huyo #Abdulrazk ameibuka na kusema bado anamatumaini ya kumpa ujauzito mke wake #Diva.

Abdul amezungumzia kuhusiana na mpango wa Diva kutaka ku-adapt mtoto, amesema haina haja ya mke wake kufanya hivyo.

Zaidi Abdul ameeleza anachotaka yeye ni kupewa muda wa masaa machache kila siku na mke wake wakiwa falagha na kudai kuwa kama mume atatimiza ndoto ya wao kupata mtoto






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags