Vera Sidika na Brown Mauzo waachana

Vera Sidika na Brown Mauzo waachana

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya na mume wa mrembo Vera Sidika @queenveebosset, #BrownMauzo ametangaza kuachana na mke wake kwa kutalakiana.

Katika ukurasa wa Instagram wa star huyo ame-post maelezo yanayoeleza kuwa wwili hao hawapotena kama mke na mume , ikumbukwe kuwa wamebahatika kupata watoto wawili ambapo mtoto wao wa pili hana muda mrefu tangu kuzaliwa kwake.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags