Marioo: Chino sio ‘dansa’ wangu tena

Marioo: Chino sio ‘dansa’ wangu tena

Mwanamuziki wa #BongoFleva #Marioo amethibitisha kuwa #ChinnoKidd sasa sio ‘dansa’ wake tena , mara baada ya kujikita kwenye muziki na kupata umaarufu kuliko hapo awali.

Akizungumza na waandishi wa habari masanii Marioo ameeleza kuwa anashukuru Mungu kuwa ‘dansa’ wake huyo amekuwa kimuziki hadi anafikia hatua ya kufanya show za mikoani huku akiweka wazi kuwa ni kweli sasa hivi Chinno sio official dancer wake, anasema ni kijana wake bado ataendelea kuwa naye, hafikirii kugombana naye.

Ikumbukwe kuwa Chino alikuwa dancer wa Marioo kabla hajaanza harakati za uimbaji pia ni msanii ambaye anaupambania muziki wa Amapiano akitoa ngoma kali za aina hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags