Wolper kuweka wazi sura ya mwanae

Wolper kuweka wazi sura ya mwanae

Imekuwa jambo la kawaida  kwa watu maarufu nchini kuficha sura za watoto wao , miongoni mwa ma-‘staa’ waliofanya hivyo ni Nandy, hakuna anayefahamu sura ya mtoto wake wala jina la mtoto huyo hadi sasa, lakini pia jambo hili amelifanya Jackline Wolper tangu ajifungue hajaonesha sura ya mtoto wake.

Kwa mara ya kwanza Wolper anataka kuweka wazi sura ya mtoto wake wa kike, ili watu wafahamu sura ya mtoto huyo. Kupitia Instagram yake Wolper ameandika,

“Nimeishiwa Maneno, Naandika Nafuta Mungu wangu Anaweza saaana Acha Nimfungulie Binti yangu Acc yake Alafu Nikaweke Ka sura Kake wapenzi wetu wamjue leo Dada yake P Nakumfollow pia Me niseme Tuu Asante Mungu🙏”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags