16
Kongosho yamtesa Chameleone, Mtoto wake aweka wazi
Mtoto wa kwanza wa msanii Jose Chameleon, Abba Marcus ameweka wazi kuwa baba yake anasumbuliwa na maradhi ya kongosho (Acute Pancreatitis) iliyosababishwa na uraibu wa pombe k...
08
Ukaribu wa Drake na mtoto wake wazidi kushamiri
Rapa kutoka Canada, Drake ameonekana kuwa na ukaribu zaidi na mtoto wake wa kiume aitwaye Adonis licha ya kutengana na mama wa mtoto huyo Sophie Brussaux.Kupitia ukurasa wa In...
27
Foden azua hofu kwa mashabiki kukosa Euro 2024
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #PhilFoden amezua wasiwasi kwa mashabiki wa Egland baada ya kurudi Uingereza kwa ajili ya kumuona mpenzi wake ambaye anat...
23
Filamu ya George Floyd kutayarisha na mtoto wake
Mke na mtoto wa marehemu George Floyd wameripotiwa kutayarisha filamu iitwayo ‘Daddy changed the World’ ya maisha ya mwanaume huyo ambaye aliuwawa na polisi nchini...
02
Mama wa Aziz ki alivyoshangilia bao la mtoto wake
Tazama furaha ya Mama wa mchezaji wa klabu ya Yanga Stephane Aziz KI baada ya kijana wake kufunga goli kwenye mchezo wa Robo Fainali ya CRDB Federation Cup, jana Jumatano dhid...
29
50 Cent adai haki ya malezi ya mtoto wake
Baada ya ‘rapa’ 50 Cent kugundua kuwa mzazi mwenziye Daphne Joy kuwa alikuwa akilipwa pesa kwa ajili ya kutoa huduma za kingono kwa Diddy, 50 ameripotiwa kudai hak...
22
Mashabiki washangazwa na Cr7 kupaka rangi kucha za miguu
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #AlNassr, # Cristiano Ronald amezua mijadara kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuonekana amepaka rangi kucha za miguu, hali iliyopelekea ...
18
Cr7 achukizwa na mtoto wake kukataa kusalimia wachezaji
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Nassr, #CristianoRonaldo alikasirika baada ya mwanaye, Cristiano Ronaldo Junior, kukataa kusalimiana na wachezaji wengine wa ‘klabu...
21
Alicho sema Shetta baada ya mtoto wake kushinda
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Shetta ameweka wazi kuwa mtoto wake #Qayllah ambaye jana amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi CCM Taifa hakupata uongozi huo ghafla, alianza ...
19
Ada ya mtoto yamtokea puani muigizaji wa Family matters
Muigizaji kutoka nchini #Marekani, #DariusMcCrary amekamatwa na polisi na kuswekwa rumande kwa kushindwa kulipa ada ya mtoto wake shuleni. Nyota huyo wa #FamilyMatters mwenye ...
18
Rosa ree afunguka kumlea mtoto wake mwenyewe
Mwanamuziki wa Hip-hop nchini #RosaRee amedai kuwa kuna muda anakuwa kama baba kwa mtoto wake, akimlea mwenyewe na kumsimamia japo ni ngumu kuwa baba. Akizungumza na moja ya c...
08
Drake aonesha mahaba mazito kwa mwanaye
Msanii kutoka nchini Marekani Drake anaendelea kuonyesha mapenzi mazito kwa mtoto wake wa kiume Adonis, kwa kuchora tattoo mpya shingoni ya jina la mtoto huyo. Ikumbukwe hiyo ...
02
Eric ataka kulipwa zaidi ya 85 milioni ili aoneshe sura ya mtoto wake
Kama ilivyo kawaida kwa baadhi ya watu maarufu kuficha sura za watoto wao mara baada ya kuzaliwa, kama ilivyojitokeza kwa baadhi y...
27
Diva: Natamani kuwa mama
Mtangazaji maarufu nchini #Divatheebawse ameendelea kuonesha hisia zake za kutamani kupata watoto Kupitia ukurasa wake wa #Instagram #Diva ameonesha hisia zake hizo kwa kuandi...

Latest Post