Rasmi Wolper aweka wazi sura ya mtoto wake

Rasmi Wolper aweka wazi sura ya mtoto wake

Mwanadada #JacklineWolper  baada ya kuficha kwa muda mrefu sura ya mtoto wake, hatimae ameshindwa kuvumilia na kuionyesha sura ya mtoto huyo, kwa ku-post picha kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Ikiwa ni birthday ya mtoto huyo #Wolper ameandika ujumbe wa kumtakia heri ya kuzaliwa mtoto wake kwa kuandika “Happy birthday to you my bestie, my girl, naona baraka sana mimi kuwa mama yako na wewe kuwa binti yangu,

Natamani vitu vizuri vyote uvipate lakini pia ombi langu ni usitoke kwenye kusudi la Mungu na pia utembee na kibali kwenye kila hatua...na ukawe baraka kwa watu wote wanaokuzunguka may you always follow your dreams and find success in all that you do”.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags