Skudu atua uwanjani na mkewe, Ally Kamwe amwaga sifa

Skudu atua uwanjani na mkewe, Ally Kamwe amwaga sifa

Usiku wa kuamkia leo mchezaji wa Yanga, Skudu Makudubela amewasili Tanzania kwa ajili ya kuendelea na majukumu yake

Aidha mchezaji huyo alikuwa amesema anashauku kubwa ya kujiunga tena na 'timu' yake katika mchezo wa leo utakaofanyika Azam Complex, Chamazi,

Mchezaji huyo awamu hii hayupo pekeyake amerudi na mke wake, huku Afisa Habari wa timu' hiyo AliKamwe kwa upande wake amemsifia mke wa mchezaji huyo kuwa sio mke wa mchongo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags