Marioo: Najuta kumsapoti Abby Chams

Marioo: Najuta kumsapoti Abby Chams

Mwanamuziki wa kizazi  kipya #Marioo amefunguka mazito kuhusu mwanamuziki mwenziye Abby Chams @abigail-chams  kwa kudai kuwa anajuta kum- support mwanamuziki huyo.

Akiwa katika moja ya interview Marioo amedai wasanii wengi wakiume huwa hawataki kuwaandikia nyimbo wasanii wakike kwa sababu ni miyeyusho sana ndipo alipomtolea mfano Abby Chams akisema katika msanii ambaye alim-support kwa ukubwa na mwisho wa siku anaambulia majuto ni huyo mwanadada.

Marioo amezungumza hayo bila kueleza sababu inayomfanya ajutie kumsaidia msanii huyo mchanga.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags