FIFA yamshikilia Rais wa soka Uspania

FIFA yamshikilia Rais wa soka Uspania

Mambo ya mekuwa makubwa FIFA baada ya shirikisho hilo kudaiwa kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Rais wa Shirikisho la Soka nchini Uspania Luis Rubiales, kutokana na kitendo alichokifanya hivi karibuni wakati wa ‘fainali’ ya kombe la dunia la wanawake nchini humo.

Rais huyo alimbusu mchezaji wa ‘timu’ ya taifa Jenni Hermoso mdomoni wakati wa  shehere ya ushindi, mara baada ya  ‘timu’ hiyo kuitwanga Uingereza.

Inadaiwa FIFA imeahidi kufanya uchunguzi ili kubaini vitendo vinavyotokea katika michezo huku ikionekana sio mara ya kwanza kutokea vitendo hivyo visivyo vya kinidhama katika mchezo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags