Husna: Najutia kuchora tattoo

Husna: Najutia kuchora tattoo

Mwigizaji wa filamu Tanzania #HusnaSajent aeleza hadhari akiwa katika interview kuwa kitu ambacho anajutia katika maisha yake ni kuchora tattoo alienda huku akidai kuwa hata mtoto wake anashangaa ilikuaje mama yake akachora tattoo, mtoto huyo humwambia asiendelee tena kuchora tattoo.

Mwanadada huyo ambaye tattoo yake inaonekana zaidi aliyoichora pajani, amewataka watu wasichore tattoo akidhihirisha majuto aliyoyapata baada ya kuchora tattoo.

Je wewe ulishawahi kutamani kuchora tattoo?

Credit: Dizzim

.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags