Otile atangaza kuacha muziki ‘albamu’ yake isipofanya vizuri

Otile atangaza kuacha muziki ‘albamu’ yake isipofanya vizuri

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya Otile Brown ameweka wazi kuwa ataacha muziki endapo albamu yake anayotarajia kutoa isipofika angalau kwenye top 3 ya albamu bora Afrika.

Otile ni kati ya wasanii kutoka nchini Kenya wanaofanya vizuri kwenye game ya muziki, kwa ngoma zake kama vile ‘Jeraha’, ‘My Sugar’, ‘Women’ ambayo amefanya na msanii kutoka Tanzania, Harmonize na nyingine nyingi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags