Skudu kutua kesho

Skudu kutua kesho

Afisa habari na msemaji wa ‘klabu’ ya #Yanga, Ali Shabani Kamwe, leo katika mkutano na waandishi wa habari ameeleza kuwa mchezaji wao raia wa Afrika Kusini Skudu Makudubela atarejea kesho kwa ajili ya kuendelea na majukumu yake katika ‘timu’ hiyo.

Baada ya mchezaji huyo kurudi nchini kwao kwa ajili ya kurekebisha passport yake, licha ya kwamba mchezaji huyo kabla ya kuondoka alikuwa majeruhi.

Aidha afisa huyo amewaambia mashabiki kuelekea mchezo wao wa Jumamosi ni maamuzi ya ‘kocha’ kama atamtumia uwanjani au aumuache kwa ajili ya ‘mechi’ nyingine.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags