Will Paul: Kaeni kwa OG huku kwangu hamniwezi

Will Paul: Kaeni kwa OG huku kwangu hamniwezi

Baada ya msanii wa hip-hop Khaligraph kuwaibua wasanii kutoka Tanzania kumjibu madai yake ya kuwa wasanii wa muziki huo Bongo hakuna wanachofaya.

Msanii mwingine tena kutoka nchi hiyo #WillPaul naye ameibuka akidai kuwa hakuna msanii anayempita kwa kuimba ndani ya Afrika Mashariki na hawezi kufananishwa na msanii yeyote anayetoka Tanzania kwenye muziki wake.

Je unafikiri huu ushindani ukiendelea utakuza muziki wa Afrika Mashariki?

.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags