Rayvanny: Wasanii wangepata wanachostahili, Wangeogopeka

Rayvanny: Wasanii wangepata wanachostahili, Wangeogopeka

Mwanamuziki wa #BongoFleva #Rayvanny ametoa maoni yake kwa kusema kuwa yeye anafikiri wasanii wangekuwa ni watu wa kuogopeka sana kwa kazi wanazofanya kwa sababu msanii akitoa ngoma moja ikawafikia watu milioni tu tayari pesa imeshangia.

Nyota huyo wa kizazi kipya aliendelea kusema kuwa kama wasanii wa kibongo wangekuwa wanapata pesa wanayostahili kupata, wangefika mbali sana na watu wengekuwa hawafanyi masihara na wasanii.

Unakubaliana na Chui?

.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags