Zinchenko arudi mchezoni

Zinchenko arudi mchezoni

Mchezaji wa #Arsenal, #OleksandarZinchenko arudi tena uwanjani baada ya kusumbuliwa na maumivu ya mguu katika sehemu ya kigimbi tangu mwishoni mwa msimu uliopita, lakini ameoneka akirejea mazoezini siku mbili zilizopita.

'Beki' huyo kutoka #Ukraine inadaiwa yuko tayari kuerejea uwanjani  na atajumuika na wachezaji wenzie kwa ajili ya mchezo wa kesho Jumatatu dhidi ya #CrystalPalace utachezwa katika uwanja #Selhurst Park.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags