Watu wasijulikana wamtafuta Willy Paul na bunduki studio

Watu wasijulikana wamtafuta Willy Paul na bunduki studio

Msanii kutoka nchini Kenya Willy Paul ameonesha video za CCTV na kuweka wazi kutaka kutolewa uhai na watu wasiojulikana waliokuwa na bastola,  baada ya kumtafuta na kudai kuwa wanataka kufanya naye kazi.

Willy amedai kuwa alipigiwa simu na mwanamke akidai kuwa anataka kufungua club hivyo anataka msanii huyo awepo kwa ajili ya kutumbuiza siku hiyo ya uzinduzi huku wakimtaka aende kwenye ofisi yao kwa ajili ya ku-sign mikataba.

Ndipo Willy alikataa kwenda kwao na kuwataka wafike kwenye studio yake kwa ajili ya ku-sign, walifika ofisini hapo bahati nzuri hawakumkuta walikuta vijana wake ambao wote wapo salama.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags