Ruby apewa tuzo ya heshima

Ruby apewa tuzo ya heshima

Baada ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Aldolf Faustine Mkenda kutambua mchango wa mwanamuziki maarufu #Ruby kama msanii anayetumia sanaa yake kuelimisha watoto na wazazi kutambua umuhimu wa elimu na haki zao za kimsingi ameamua kumtunuku tuzo.

Waziri  amemtunuku tuzo hiyo ya heshima msanii huyo, siku ya jana  mkoni Tanga katika Wilaya ya Pangani.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags