Worlper: Haikuwa rahisi kuwa mama

Worlper: Haikuwa rahisi kuwa mama

Muigizaji na mfanyabiashara #JacklineWorlper akiwa katika moja ya interview leo  katika ibada ya siku ya Jumapili amsema haikuwa rahisi yeye kuwa na watoto na kuitwa mama.

Wolper amewaeleza wanawake wengine kuwa wakiamua kuwa mama basi kuna vitu wanatakiwa waviache vile ambacho wanajua vitamuathili mtoto na kama umewahi kuwa mama halafu kuna vitu haujaviacha basi unatakiwa  kumuomba Mungu sana.

Kwani mtoto huiga kile mama anachokifanya hivyo mtoto anaweza kuathilika kutokana na tabia za mama.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags