Messi ain’garisha Inter Miami

Messi ain’garisha Inter Miami

Kama kawaida ya Leon Messi anapokuwa katika ‘timu’ anayoichezea katika kipindi hicho lazima kumbukumbu na  kujenga historia.

Messi  amefanya hivyo pia katika ‘klabu’ ya #InterMiami, #Marekani akijinyakulia taji lake la 44 pamoja na kushinda tuzo mbili ya mfungaji bora na mchezaji bora.

Aidha ‘Klabu’ hiyo imeandika historia mpya kwa kubeba ubingwa wa ‘ligi’ baada ya ushindi wa ‘penati’ 10-9 dhidi ya #Nashville, ikiwa ndiyo mara ya kwanza baada ya kutua Messi ‘klabuni’ hapo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags