Kevin na Christine kujibu kiapo cha talaka

Kevin na Christine kujibu kiapo cha talaka

Jambo la talaka kwa waigizaji nchini #Marekani limekuwa kitu cha kawaida week iliyopita muigizaji Sam na mkewe walivunja ndoa yao kwa kupeana talaka mahakamani.

Lakini pia mugizaji Kevin Costner na mkewe  Christine Baumgartner wanadaiwa kutengana, siku ya jana Jumamosi waliwasili mahakamani kwa ajili ya kiapo cha talaka yao.

Kwa mujibu wa TMZ  inaeleza kuwa  wawili hao waliotofautiana walifunga ndoa mwaka 2004.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags