Rayvanny ashindwa kutumbuiza Congo

Rayvanny ashindwa kutumbuiza Congo

Mwanamuziki wa #BongoFleva #Rayvanny amehuzunishwa  na kutoimba kwenye show Goma nchini Congo baada ya Promoters kutomfata msanii huyo kutoka hotelini hali ambayo ilizua taharuki na vurugu kwa mashabiki wakimtaka msanii huyo aingie kutumbuiza jukwaani.

Aidha nyota huyo ameonyesha hali ya kusikitishwa na hali hiyo ya kutofurahi na mashabiki wake, amewalalamikia promoters wa Goma kwa kushindwa kumfuata hotelini, na kusababisha mashabiki wamsubiri bila kumuona.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags