French Montana aingia Super Market na Farasi

French Montana aingia Super Market na Farasi

Ni kawaida wa watu maarufu kutumia magari yaliyofungwa vioo kwa ajili ya kujificha wasionekane na watu, lakini kwa mwanamuziki wa Hip-hop kutoka New York French Montana imekuwa tofauti kwani  ameonekana akienda super market huku akiwa anaendesha farasi.

French amedai kuwa ameamua kutumia usafiri huo wa farasi baada ya ‘leseni’ yake kusimamishwa ndiyo maana akamua kutumia usafiri huo, ambao ameingia nao hadi ndani ya super market hiyo.

Kutokana na jambo hilo limeonekana kuwavutia watembea kwa miguu wengi kwani imekuwa rahisi kumuona.kwenye comment za mashabiki wengi wameonekana kupendezwa na kitendo alichofanya mwanamuziki huyo kwani kila mmoja amekuwa akiandika lake kuonesha namna alivyo furahishwa na kitendo hicho.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags