Shetta: Hakuna amapiano ya bongo inayo sikilizwa, South

Shetta: Hakuna amapiano ya bongo inayo sikilizwa, South

Baada ya kutangaza vita na kushikilia msimamo wake wa kuondoa aina ya muziki wa Amapiano ambao umekuwa gumzo Tanzania, msanii wa #BongoFleva @Shetta ameibuka tena akiweka msisitizo kuwa yuko serious na anacho kisema.

Kupitia #instastor yake ameeandika kuwa muziki wa amapiano ambao unafanywa na wanamuziki wa Bongo haufiki popote akieleza kuwa hivi karibuni alitembelea ‘klabu’ za nchini South Africa na kusema hakuna hata ‘klabu’ moja ambayo inapigwa nyimbo za amapiano za wasanii Wakitanzania

Akiendelea kwa kueleza kuwa miaka ya nyuma akitolea mfano wimbo wake wa ‘Kerewa’ alio mshirikisha Diamondi ulivuma sana kweye ‘televisheni’ za nje kushinda Amapiano.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags