Mwigizaji wa filamu nchini Salim Ahmed 'Gabo Zigamba' leo Mei 13, 2025, amesema filamu ina nafasi kubwa ya kutoboa kimataifa kuliko muziki.Gabo ameyasema hayo leo Me...
Kesi inayomkabili rapa kutoka Marekani, Sean “Diddy” Combs imesikilizwa jana Mei 12,2025 huku waendesha mashtaka wakiwaita mashahidi wawili, akiwemo afisa wa polis...
Kumekuwa na lawama nyingi kutoka kwa baadhi ya mashabiki na wadau wa muziki zikitupwa kwa wasanii ambao huanza kufanya aina fulani ya muziki na baadaye kubadilika na kufanya a...
Mpiga gitaa mkongwe nchini, Omar Seseme, amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu maradhi ya moyo, akiwa nyumbani kwake Dar es Salaam.Akizungumza na Mwananchi, Msemaji w...
Mkuu wa Kitengo cha Sheria Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Christopher Kamugisha amesema wamesikiliza malalamiko ya pande zote mbili kuhusu wito wa wasanii Harmonize na Ibra...
Lebo ya Konde Gang Music Worldwide inayomilikiwa na msanii Harmonize imemsimamisha mwanamuziki wake Ibrahim Abdallah, kutoa na kushiriki katika shughuli zozote za muziki hadi ...
Mtayarishaji wa muziki nchini Joachim Marunda 'Master Jay' ameiambia Mwananchi rekodi lebo nyingi zinazomilikiwa na wasanii Bongo zinashindwa kudumu ...
Wakati muziki wa Singeli ukiwa mbioni kutangazwa rasmi kuwa sehemu ya Orodha ya Urithi wa Dunia, kwa mujibu wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamagamba Kabud...
Mwigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka Hong Kong, Jackie Chan amekanusha tetesi za kustaafu kuigiza, ambapo ameweka wazi kuwa ataendelea kufanya kazi hiyo kwa muda usiojul...
Mwanamuziki kutoka Marekani, Kanye West ameonesha kutofurahishwa na malezi ya aliyekuwa mke wake Kim Kardashian kwa watoto, hii ni baada ya Kim kwenda na North West kwenye mao...
Baada ya msanii Jux kuweka wazi kufanya sherehe nyingine Bongo ya reception, na sasa inaelezwa kuwa haitakuwa tuu sherehe bali itakuwa ni maonyesho ya mitindo.Kupitia ukurasa ...
Baada ya sherehe iliyosimamisha nchi ya Nigeria na Tanzania kwa wakati mmoja ya mwanamuziki Juma Jux na mke wake Priscilla Ojo, sasa wawili hao kufanya sherehe nyingine Bongo....
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Abigail Chams, ameweka historia kwa kuwa msanii wa kwanza wa kike kutoka Tanzania kuwania tuzo ya kimataifa ya BET katika kipengele cha ‘Best...
Wimbo pendwa wa Singeli kutoka kwa mashabiki hasa watumiaji wa mtandao wa TikTok ‘Afande’ ulioimbwa Dogo Paten akimshirikisha Zuchu umetajwa kuwania tuzo za &lsquo...