Fabinho apewa zawadi ya saa na Mwandishi

Fabinho apewa zawadi ya saa na Mwandishi

Baada ya kuonesha kiwango bora kwenye mechi yake ya kwanza ya Ligi dhidi ya #Al-Raed, Mwandishi wa Habari na shabiki wa klabu ya Al-Ittihad, #IbrahimAl-Faryan hakufanya hiyana kumpa zawadi ya saa aina ya Rolex mchezaji wa zamani Liverpool, Fabio Henrigue Tavares, (@fabinho

Kiungo huyo alicheza mechi yake ya kwanza ya ‘Ligi’ ya Saudi Pro, usiku wa kuamkia leo, na kuisaidia ‘timu’ yake hiyo anayoichezea sasa Al-Ittihad kupata ushindi wa mabao 3-0.

Ikumbukwe Fabinho alijiunga na Al Ittihad kwa mkataba wa pauni milioni 40, na kuungana na nyota wengine kama Karim Benzema.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags