Yacouba: Tanzania itaishi kwenye moyo wangu

Yacouba: Tanzania itaishi kwenye moyo wangu

Winga wa #Ihefu SC #YacoubaSongne ameaga rasmi ‘timu’ yake hiyo ambapo ameambatanisha na ujumbe katika ukurasa wake wa #Instagram akieleza kuwa ulikuwa wakati mzuri wa kuishi #Tanzania lakini pia ulikuwa wakati mzuri wa kuitumikia Ihefu kwa kipindi chote walicho kuwa pamoja.

Hakuishiapo tu alisema kuwa siku zote #Tanzania itashi kwenye moyo wangu na kuwatakia kila la kheri ‘timu’ hiyo kwa msimu huu mpya.

Ikumbukwe mchezaji huyo kabla ya kujiunga na Ihefu alitokea katika ‘timu’ #Yanga






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags