Maliha avunja ‘rekodi’ ya kupika saa 90 nyumbani

Maliha avunja ‘rekodi’ ya kupika saa 90 nyumbani

Mpishi kutoka nchini #Kenya, #MalihaMohammed amevunja ‘rekodi’ ya Dunia ya Guinness kwa kupikia nyumbani baada ya kutimiza saa 90 na dakika 15.

Mpishi huyo alianza shughuli hiyo ya kutaka kuvunja ‘rekodi’ siku ya Ijumaa, Agosti 11, akiwa anamfukuzia #RickeyLumpkin kutoka nchini #Marekani, ambaye alipika kwa saa 68, dakika 30,  mwezi Desemba 2018.

Mpaka kufikia jana Jumatatu, Maliha Mohammed alikuwa tayari






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags