Angus Cloud hakujiua

Angus Cloud hakujiua

Muigizaji mchanga kutoka nchini Marekani Angus Cloud aliyeripotiwa kujiua mwezi uliopita, ushaihidi unadai kuwa kifo cha Cloud kilitokana na matumizi ya madawa kupitiliza na sio kujiua kama ilivyoshukiwa mara ya kwanza.

Kwa mujibu wa TMZ news unaeleza kuwa vyanzo vilivyohusika na uchunguzi wa kifo vinasema kuwa Angus hakuacha barua wakati amekufa.

Cloud alikutwa amekufa chumbani kwake mwezi uliopita katika nyumba ya familia yake huko Oakland huku taarifa ya awali ambayo familia ilitoa ilidokeza kwamba anawezakana  kuwa kajiua.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags