Davido: Albamu ya timeless imebadilisha maisha yangu

Davido: Albamu ya timeless imebadilisha maisha yangu

Mwanamuziki kutoka Nigeria, #Davido amefunguka kuwa albamu yake mpya aliyoiachia mwanzoni mwa mwaka huu ya Timeless imebadilisha maisha yake.

Hii inakuja baada ya kuulizwa swali kuhusiana na albamu ipi ndio imembadilishia maisha yake na kumuingizia mkwanja mwingi, Davido kupitia ukurasa wake wa Twiter, ame-share kava ya albamu hiyo akilijibu swali hilo aliloulizwa mtandaoni.

Albamu hiyo yenye nyimbo 17 ilitoka Machi 31, 2023, na kuvunja rekodi kwa kusikilizwa mara nyingi siku ya kwanza tu baada ya kuachiwa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags