Nandy: Mimi ndiye msanii wa kwanza kumiliki range, Zuchu rafiki yangu

Nandy: Mimi ndiye msanii wa kwanza kumiliki range, Zuchu rafiki yangu

Mwanamuziki Nandy usiku wa kuamkia leo kwenye party yake ya #FollowTheVibe amedai kuwa akitolewa ladyjdee, yeye ndiye msanii wa kwanza wa kizazi kipya kumiliki gari aina ya range kwani alianza kumiliki tangu,miaka miwili iliyopita.

Hivyo anashangazwa na baadhi ya watu wanaoleta maneno baada ya yeye kumiliki range mbili, pia Nandy amedai kuwa Zuchu ni rafiki yake ambaye huwa wanawasiliana na huwa hachuki kuona watu wanamshindanisha naye , kwani Zuchu anafanya vizuri.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags