Arrogant kulipwa zaidi ya milioni 12, kumtengeneza mtu nywele

Arrogant kulipwa zaidi ya milioni 12, kumtengeneza mtu nywele

Mwanamitindo wa nywele Arrogant Tae kutoka nchini Marekani , ambaye amekuwa akijihusisha na utengengenezaji wa nywele za baadhi ya watu maarufi duniani akiwemo, Nicki Minaj, na Kim Kardashian ameweka wazi watu kutaka kumlipa zaidi ya Tsh 12 milioni ili awatengeneze nywele zao.

Arrogant ameonesha moja ya ushahidi wa txt mwanaume kutoka Dubai ambaye alikuwa akitaka kumlipa pesa hizo ili aende kumtengeneza mke wake nywele.

Unaweza kutengeneza nywele wa Tsh 12milioni?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags