Mh.Temba: Soko la muziki limebadilika, wasanii wa zamani mbadilike pia

Mh.Temba: Soko la muziki limebadilika, wasanii wa zamani mbadilike pia

Mwanamuziki mkongwe nchini Mhe. Temba ambaye alitamba kupitia kundi la TMK family, amewataka wasanii wa zamani ambao wanataka kurudi kwenye game ya muziki wafate upepo wa muziki wa sasa.

Temba amesema kuwa muziki unaelimisha na kuburudisha kwa hiyo ni uamuzi wa mwanamuziki kuelimusha au kuimba vitu visivyo elimisha, akaongezea kwa kusema kuwa muziki umebadilika hivyo wasanii wa zamani hawana budi kubadilika pia.

Credit BBC

.
.
#MwananchiScoop






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags