Ikiwa wimbo wa msanii Zuchu ya Honey ukiendelea kushika number one treding kupitia mtandao wa YouTube, mwanamuziki kutoka nchini Brazil Mc Fioti kupitia #InstaStory yake ameweka kipande cha wimbo huo huku akiwa anaimba, akionesha kupendezwa na wimbo huo.
kutizama video hiyo fuatilia instagram ya @Mwananchiscoop

Leave a Reply