Jesus kurudi mchezoni

Jesus kurudi mchezoni

Mikael Arteta aweka wazi kuhusu mshambuliaji wa Arsenal na Brazil, Gabriel Jesus akidai atarejea hivi karibuni licha ya kupata jeraha 'wiki' iliyopita.

Jeraha hilo ambalo lilimfanya 'fowadi' huyo kuwa nje kwa sehemu kubwa ya kipindi cha pili cha msimu Uliopita.

Mikael  Arteta ameweka wazi kuhusu hali ya Gabriel Jesus amedai 'fowadi' huyo atarejea hivi karibuni licha ya kupata jeraha alisema,

“Yuko sawa, hakuna aliyetarajia na ilitubidi kufanya maamuzi haraka, tunaamini yalikuwa maamuzi sahihi kwa ajili yake naamini atarudi dimbani haraka.”

Arteta pia alitoa taarifa kuhusu hali ya Bukayo Saka baada ya kukiri alipata hofu kuhusu nyota huyo.

“Ndiyo alifanya mazoezi atakuwa sawa na tuna furaha kubwa kucheza mchezo ambao utatupa fursa ya kubeba medali ya kwanza,”

kauli hiyo alisema alipoulizwa






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags