Mkaliwenu atangaza vita kwa Mwakinyo, Kiduku na Mbabe

Mkaliwenu atangaza vita kwa Mwakinyo, Kiduku na Mbabe

Mchekeshaji maarufu nchini Mkaliwenu ambaye kwa sasa ameangukia katika Tasnia ya Ngumi, usiku wa kuamkia leo amemchapa bondia Jitu la Kale kwa TKO.

Pambano hilo ambalo sio la ubingwa lililofanyika Mikocheni, Mkaliwenu amemchaka Jitu la Kale round ya kwanza katika pambano la round nne.

Mchekeshaji huyo baada ya kushinda pambano hilo amefunguka na kueleza kuwa ameshashinda mapambano takribani yote aliyopigana na sasa anamtaka Mwakinyo, Twaha Kiduku na Dullah Mbabe






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags