P Cancelo akubali wimbo wa Marioo

P Cancelo akubali wimbo wa Marioo

Mchezaji kutoa ‘klabu’ ya Manchester City, #João Cancelo kupita #InstaStory yake ame-share wimbo wa msanii #Marioo_tz  #MiAmor.

Hii inadhihilisha kuwa wasanii wa #BongoFleva wanaendelea kufanya vizuri kuvuka mipata ya nchi kimuziki, kwani sio mara ya kwanza kwa wimbo wa msanii kutoka Tanzania kupitwa na watu maarufu kutoka mataifa mengine.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags