Microphone aliyorusha Card B kwa shabiki yaingizwa sokoni

Microphone aliyorusha Card B kwa shabiki yaingizwa sokoni

Microphone aliyorusha Cardi B kwa lengo la kumpiga shabiki yaingizwa sokoni kupigwa mnada kwa gharama ya juu.

Tarehe 29 wakati Card B aki-perform kwenye onyesho Las Vegas, shabiki alijaribu kummwagia maji jukwaani na ndipo alichukua uamuzi wa kumrushia microphone hiyo ambayo ipo sokoni kwa sasa.

Microphone hiyo inapigwa mnada kwenye soko la mtandaoni #ebay kwa gharama ya zaidi ya TSh 123 milioni, inaelezwa kuwa pesa itakayopatikana kwenye microphone hiyo itaenda kutolewa misaada.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags